Afisa mwandiishaji wa Jimbo la Musoma Vijijini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kufika kwenye usaili utakaoanza Agosti 20, 2024 Saa 2:00 asubuhi katika Ukumbi wa Charles Magoma uliopo Makao makuu ya Halmashauri Suguti-Kwikonero.