Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Musoma Vijijini anapenda kuwajulisha wasailiwa wote waliofanya usaili wa waandishi wasaidizi wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa Tarehe 20-22/08/2024 kuwa matokeo yamekamilika.
Ili kupata matokeo haya bonyeza hapa chini.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa