• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Rasilimali watu na utawala

Majukumu ya Idara:

Majukumu ya Idara ni kutoa michango ya kimkakati kwa menejimenti katika mambo yahusuyo Utawala na menejimenti ya rasilimali watu kama ajira, uendelezaji rasilimaliwatu, uelimishaji, upandishaji vyeo, menejimenti ya utendajikazi na kushughulikia maslahi ya watumishi.

Idara inatunza na kuhuisha kumbukumbu za rasilimali watu na kutoahuduma za kiutawala ili kuhakikisha mazingira mazuri ya kufanyia kazi.

Kuhakikisha kuwa utumishi wa umma unaendeshwa kwa kuzingatia sera,sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali katika utumishi wa umma.

Kufuatilia na kutafsiri sera, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya utumishi wa umma na kusimamia uwianishaji wa ajira katika utumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa kufuata kanuni na taratibu zote zilizowekwa na Serikali.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA KWANZA NA CHA TATU KIWILAYA January 07, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI November 11, 2022
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2022 December 05, 2022
  • WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023 December 14, 2022
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MAZINGIRA YA HOSPITALI YA WILAYA HAYARIDHISHI

    March 24, 2023
  • MAFUNZO YATOLEWA KWA WALIMU

    March 23, 2023
  • EMEDO NA IPSOS YATOA MATOKEO YA UTAFITI WA KUZUIA WAVUVI KUZAMA

    June 10, 2022
  • TUZO YA UFAULU WA TAALUMA

    February 21, 2022
  • Angalia Yote

Video

UUZAJI WA VIWANJA VYA MAKAO MAKUU
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • YALIYOJILI KAMATI YA FEDHA
  • Agreement on provision of health services by Japan Government

Tovuti mashuhuri

  • Necta
  • Utumishi
  • Ajira
  • Salary Slip

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Musoma Town opposite to Airport

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa