1. Kutoa ushauri kuhusu sera ya sekta ya Ujenzi .
2. Kusimamia mfumo wa sheria kanuni na taratibu za sekta ya ujenzi kwa nia ya kuboresha ujenzi na matengenezo/ukarabati wa Barabara madaraja na majengo
3. Kubuni, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa miradi ya ujenzi na matengenezo/ukarabati barabara , madaraja na majengo
4. Kufanya uchambuzi wa kina wa taarifa na takwimu za kujange/ kukarabati barabara madaraja na majengo
5. Kutayarisha taratibu za ununuzi wa makubaliano ya mikataba inayoihusisha Serikali katika masuala ya Ujenzi wa Barabara madaraja na majengo
6. Kusimamia utekelzaji wa makubaliano ya mikataba inayoihusisha Serikali katika masuala ya ujenzi wa Barabara madaraja na majengo
7. Kutayarisha mipango na bajeti mwaka ya ujenzi na matengenezo ukarabati wa barabara madaraja na majengo
8. Kutayarisha taarifa za miradi ya maendeleo ya mwezi, robo mwaka nusu mwaka na mwaka mzima ili kueleza maendeleo ya kazi ujenzi wa barabara madaraja na majengo
9. Kutoa ushauri wa kitaalam kuhusu matumizi bora ya umeme kutokana na mendeleo ya kiteknolojia.
10. Kuratibu miradi ya umeme na kutayarisha Programu ya utekelezaji wa miradi ya umeme
11. Kufanya ukaguzi wa shughuli za umeme ikiwa pamoja na kuhakiki viwango vya ubora wa huduma hiyo.
12. Kupitia mapendekezo ya miradi ya barabara madaraja na majengo
13. Kufanya ukaguzi wa majengo ikiwa pamoja na kuhakiki viwango vya ubora wa majengo
14. Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu usanifu majengo
15. Kubuni kusimamia na kuratibu utekelezaji wa sera yenye kuhusisha taalum za wasanifu wa majengo
16. Kuhakikisha kuwa mikakati ya utekelezaji wa sera yenye kuhusisha taaluma za wasanifu majengo inazingatiwa
17. Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu miradi mbalimbali kuhusu bei za vifaa vya barabara na majengo
18. Kuratibu shughuli za ukadiriaji ujenzi katika ngazi zote (kupokea mapendekezo, kutathimini mapendekezo kuingia mikataba na kuanza utekelezaji).
19. Kubuni, kusimamia na kuratibu utekelezaji wa sera ya ujenzi yenye kuhusisha taaluma za ukadiriaji ujenzi
20. Kuhakikisha kuwa mikakati ya utekelezaji wa sera ya ujenzi yenye kuhusisha taaluma za ukadiriaji ujenzi inazingatiwa
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa